Перейти к содержимому

Dondoo na Reggae Agosti 29, 2026. Pt1. Those We Carry in Our Hearts

Dondoo na …..

0:00 / 0:00

Dondoo na Reggae Agosti 29, 2026. Pt1. Those We Carry in Our Hearts

60 просмотров · 3 недели назад
Dondoo na …..
256 подписчиков
60 просмотров · 3 недели назад
Those We Carry in Our Hearts Wapo watu ambao hawapo tena mbele ya macho yetu, lakini bado wanaishi ndani ya mioyo yetu. Katika Plot ya kwanza ya Dondoo na Reggae, tumewapa nafasi wale tuliowapoteza,Ndugu, jamaa, marafiki na watu waliowahi kuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Tumezungumza kuhusu kumbukumbu zao, yale mazuri waliyotuachia na kwa nini wakati mwingine tunahitaji kujifunza kuwaachilia waende kwa amani bila kuacha kuwapenda. Songs of Remembrance: Love That Never Fades