Перейти к содержимому

Dondoo na Reggae Agosti 29, 2026 Plot #3. Celebrate Life: The Joy We Still Have

Dondoo na …..

0:00 / 0:00

Dondoo na Reggae Agosti 29, 2026 Plot #3. Celebrate Life: The Joy We Still Have

4 просмотра · 2 недели назад
Dondoo na …..
256 подписчиков
4 просмотра · 2 недели назад
Baada ya kuwapoteza na kuendelea kuwaenzi tukiowapoteza, Kwenye Plot 3 inatukumbusha kwamba hata baada ya kupoteza, maisha bado yana nafasi ya kutupa furaha. Bado kuna watu tunaowapenda. Bado kuna marafiki wa kucheka nao. Bado kuna ndoto za kuzifanikisha na bado kuna sababu ya kushukuru kwa kuwa tupo tunaishi. Ni muhimu kuweka huzuni pembeni, na kusherehekea maisha tuliyonayo leo na kuendelea kuwaombea wapumzike kwa amani na wapate raha ya Milele Celebrate Life: Songs of Joy, Love & Gratitude