Перейти к содержимому

ABDUL EL-SAYED AANDIKA HISTORIA, AWA MUISLAMU WA KWANZA KUCHAGULIWA SENETI YA MAREKANI

Global TV Online

0:00 / 0:00

ABDUL EL-SAYED AANDIKA HISTORIA, AWA MUISLAMU WA KWANZA KUCHAGULIWA SENETI YA MAREKANI

5 528 просмотров · 9 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
5 528 просмотров · 9 ч назад
ABDUL EL-SAYED AANDIKA HISTORIA, AWA MUISLAMU WA KWANZA KUCHAGULIWA SENETI YA MAREKANI Mwanasiasa wa chama cha Democratic, Abdul El-Sayed, ameandika historia nchini Marekani baada ya kushinda kiti cha Seneti kuwakilisha jimbo la Michigan. Ushindi huu unamfanya kuwa Muislamu wa kwanza kuchaguliwa katika baraza hilo la juu la kutunga sheria nchini humo. Dkt. Abdul El-Sayed, ambaye ni daktari wa afya ya jamii na kiongozi wa zamani wa sekta ya afya jiji la Detroit, alijikita kwenye masuala ya kupunguza gharama za maisha, kuboresha bima ya afya, na kupunguza ushawishi wa mashirika makubwa katika siasa. #AbdulElSayed #UchaguziMarekani #GlobalTVOnline #HabariZaKimataifa #MichiganSenate ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com