Перейти к содержимому

ANGEL NA MAMA YAKE WATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA

UWAWAMA ONLINE TV

0:00 / 0:00

ANGEL NA MAMA YAKE WATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA

9 118 просмотров · 1 дн. назад
UWAWAMA ONLINE TV
7,97 тыс. подписчиков
9 118 просмотров · 1 дн. назад
Mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29, ametoa shukrani za dhati kwa UWAWAMA TV kwa kuibua na kusambaza habari yake kwa mara ya kwanza baada ya kupata matatizo Manzese. Yeye na mama yake wamekishukuru combo hicho pamoja na vyombo vyote vya habari ambavyo vilisambaza, kumtembelea na kuendelea kutoa habari zake hadi wakati huu ambapo msamaria mwema amejitokeza kumpatia msaada. Sambamba na hilo ametuma ujumbe wa shukrani na upendo kwa Watanzania wote waliosambaza habari yake, kumuombea pamoja n wote waliotoa michango yao katika kipindi hiki. Yeye na mama yake wanawaomba Watanzania waendelee kuwaombea katika awamu hii mpya ya matibabu hadi pale safari hii itakapotamatika.