BINTI WA MIAKA 19 AJIFUNGUA MAPACHA 3 KWA MPIGO -"KOPO LA MAZIWA LINAISHA KWA SIKU MOJA"
Global TV Online
0:00 / 0:00
BINTI WA MIAKA 19 AJIFUNGUA MAPACHA 3 KWA MPIGO -"KOPO LA MAZIWA LINAISHA KWA SIKU MOJA"
3 497 просмотров · 3 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
3 497 просмотров · 3 ч назад
BINTI WA MIAKA 19 AJIFUNGUA MAPACHA 3 KWA MPIGO -"KOPO LA MAZIWA LINAISHA KWA SIKU MOJA"
Licha ya furaha ya kupata baraka ya watoto hao, maisha yamegeuka kuwa mtihani mzito na simanzi tele kutokana na ukata mkubwa wa kiuchumi. Baba wa watoto hao alilazimika kuuza chombo chake cha kazi (bodaboda) ili kugharamia matibabu ya mama na watoto hospitalini, jambo lililowaacha bila kipato chochote cha kuendesha maisha.
Hivi sasa, watoto wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maziwa maalum, nguo, na mahitaji mengine ya msingi. Ungana nasi kusikiliza simulizi hii ya kugusa hisia na namna unavyoweza kuwagusa na kuwasaidia watoto hawa.
#GlobalTVOnline #HabariZaKijamii #Simanzi #MatukioYaKweli #DarEsSalaam
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com