Перейти к содержимому

WIZARA YA ARDHI IMEWATAKA WANANCHI KUTAFUTA HATI KUEPUKA MIGOGORO YA ARDHI

ITV Tanzania

0:00 / 0:00

WIZARA YA ARDHI IMEWATAKA WANANCHI KUTAFUTA HATI KUEPUKA MIGOGORO YA ARDHI

206 просмотров · 11 ч назад
ITV Tanzania
1,37 млн подписчиков
206 просмотров · 11 ч назад
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imewahadharisha wananchi wanaonunua ardhi katika maeneo tofauti kuhakikisha wanapata hati miliki itakayowawezesha kutambulika kisheria ili kuepuka Migogoro ya Ardhi inayoendelea katika maeneo mengi mkoani Tanga. Hayo yamebainishwa na Christopher Kitundu, Mwakilishi wa Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoani Tanga, baada ya wananchi waliopo katika Jiji hilo na kwingineko ambao wamechangamkia fursa za kumiliki ardhi kisha kukabidhiwa hati ili kuepuka migogoro ya ardhi inayoendelea kufukuta katika maeneo tofauti mkoani humo Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg