MOTO WATEKETEZA MADUKA 4 YA WAFANYABIASHARA MOMBO
ITV Tanzania
0:00 / 0:00
MOTO WATEKETEZA MADUKA 4 YA WAFANYABIASHARA MOMBO
189 просмотров · 8 ч назад
ITV Tanzania
1,37 млн подписчиков
189 просмотров · 8 ч назад
Moto Mkubwa uliombatana na upepo mkali umesababisha maduka manne kuteketea kwa moto katika eneo la mji mdogo wa Mombo wilayani Korogwe na kusababisha hasara kubwa ya mamilioni ya shilingi.
Wakizungumza katika eneo la tukio baada ya wananchi wa mji mdogo wa mombo kusaidia kuuzima moto huo kabla askari wa jeshi la kikosi cha zima moto na uokoaji kutoka makao makuu ya wilaya kufika eneo hilo,baadhi ya wafanyabishara walioathrika na moto huo wamesema.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg