Перейти к содержимому

Wakulima watolewa hofu kilio cha wadudu wala Mahindi Bagamoyo

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

Wakulima watolewa hofu kilio cha wadudu wala Mahindi Bagamoyo

181 просмотр · 3 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
181 просмотр · 3 года назад
Wakati kilio cha visumbufu vya mazao kikishika kasi kwa wakulima wa mahindi katika kata ya Kimange wilayani Bagamoyo, wito umetolewa kwa mabwana shamba kuwa wakaribu na wakulima kubaini hatua za awali za visumbufu hivyo na kuvitafutia suluhu. Wito huo umetolewa na mtafiti mkuu za zao la mahindi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dk Anord Mushongi alipotembelea katika mashamba ya mahindi kwenye kijiji cha Kimange ambacho wakulima wamelalamikia mahindi yao kushambuliwa na viwavijeshi vamizi.