Перейти к содержимому

UMWAGILIAJI WA MATONE KWENYE MBOGA MBOGA. || KIBAHA

maco TV 🖥️

0:00 / 0:00

UMWAGILIAJI WA MATONE KWENYE MBOGA MBOGA. || KIBAHA

1 734 просмотра · 11 месяцев назад
maco TV 🖥️
8,42 тыс. подписчиков
1 734 просмотра · 11 месяцев назад
tupo morogoro tanzania na tunatoa huduma tanzania nzima, tuwasiliane kwa namba : 0620511969 Video Description: Karibu kwenye video hii ya behind the scenes ambapo tunaonesha hatua kwa hatua tulivyofunga mfumo wa umwagiliaji wa matone (drip irrigation system) kwa shamba la mteja wetu huko KIBAHA PWANI 🌱🚜. Katika video hii utaona jinsi timu yetu ilivyopanga, kuandaa vifaa, na kuhakikisha mfumo unafanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili kusaidia kuongeza uzalishaji wa mazao kwa kutumia maji kidogo. 👉 Mfumo wa umwagiliaji wa matone ni suluhisho bora kwa wakulima wanaotaka: Kupunguza matumizi ya maji 💧 Kupata mavuno bora 🌽🍅 Kudhibiti magugu na kupunguza gharama za uzalishaji Kaa nasi hadi mwisho kuona changamoto ndogo tulizokutana nazo na jinsi tulivyozitatua kwenye site. Usisahau ku-subscribe kwa channel yetu ili upate video zaidi kuhusu teknolojia za kilimo, ushauri wa kitaalamu, na mitazamo ya biashara ya kilimo hapa Tanzania 🇹🇿. #Umwagiliaji #DripIrrigation #KilimoBora #KilimoBiashara #BehindTheScenes #Morogoro #Agribusiness #SmartFarming #IrrigationSystem #TanzaniaAgriculture #KilimoKwanza #WaterManagement #FarmProjects #AgriTech