Dr. Chris Mauki: Sababu 6 za wengi kulelewa bila baba
Chris Mauki
0:00 / 0:00
Dr. Chris Mauki: Sababu 6 za wengi kulelewa bila baba
3 207 просмотров · 3 года назад
Chris Mauki
381 тыс. подписчиков
3 207 просмотров · 3 года назад
Kiwango cha malezi ya mzazi mmoja kina ongezeka kila siku na watoto wengi wanaishi na mama zao zaidi ya anaoishi na baba zao. Nafasi ya baba imeshakuwa adimu sana kwenye maisha ya wengi. Je unajua sababu ni ipi? Hizi hapa sababu, labda tukizi elewa tunaweza kupunguza athari.