Перейти к содержимому

Dr.Chris Mauki - Vitu Unavyo Vifanya Vinamuudhi Sana Mume Wako

Chris Mauki

0:00 / 0:00

Dr.Chris Mauki - Vitu Unavyo Vifanya Vinamuudhi Sana Mume Wako

1 038 просмотров · 2 месяца назад
Chris Mauki
381 тыс. подписчиков
1 038 просмотров · 2 месяца назад
Kwenye ndoa au mahusiano, kuna tabia na vitu vidogo vidogo ambavyo unaweza kuwa unavifanya bila nia mbaya, lakini vikawa vinamkera na kumshusha hisia mume wako taratibu. Kuelewa hisia za mume wako na vitu vinavyomkera ni hatua kubwa sana ya kulinda amani, heshima na upendo nyumbani kwenu. Katika video hii, tunaangazia Vitu Unavyovifanya Vinamuudhi Sana Mume Wako na jinsi ya kubadili mtazamo ili kujenga mawasiliano bora na yenye afya. Tazama hadi mwisho uweze kuimarisha ndoa yako, na usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa mafunzo zaidi ya mahusiano!