Перейти к содержимому

NYIMBO ZA WOKOVU 141: PATA AMANI NA FURAHA YA MILELE

KWIZERA REMY | SWAHILI GOSPEL SOUNDS и Swahili Worship Hymns

0:00 / 0:00

NYIMBO ZA WOKOVU 141: PATA AMANI NA FURAHA YA MILELE

11 742 просмотра · 4 мес. назад
KWIZERA REMY | SWAHILI GOSPEL SOUNDS и Swahili Worship Hymns
11 742 просмотра · 4 мес. назад
Shalom watu wa Mungu, welcome to our channel@swahiligospelsounds , subscribe, activate bell notification, share and comment 1Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, atuongoza kwa neema na anatushibisha. Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe! Haleluya, haleluya, haleluya, Amina! 2Ni vema kumpenda Mungu aliyetukomboa, vizuri kuwa mtu wake, sitapotea kamwe. Furaha yetu itabakia, ikiwa vyote vingetoweka. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 3Ikiwa giza mara nyingi, na jua likifichwa, na tukijaribiwa huku twajuwa ni kwa mda. Mbinguni hatutaona kamwe huzuni wala machozi tena. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 4Na tusisumbukie tena chakula wala nyumba, maana vyote twavipata kwa ne’ma yake Mungu. Njiani yote atuongoza aichukuwa mizingo yetu. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 5Ikiwa vema huku chini kutegemea Yesu, furaha gani huko juu kuona uso wake. Tutaiona furaha tele, na utukufu hautaisha, Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! --- Boost your YouTube audience with vidIQ. Use this link to unlock 500 bonus credits when you upgrade to a premium plan: https://vidiq.com/r/?code=DJjghp