Перейти к содержимому

Leonard na Janet Song

⭐ Maageria Vibes

0:00 / 0:00

Leonard na Janet Song

36 просмотров · 3 недели назад
⭐ Maageria Vibes
344 подписчика
36 просмотров · 3 недели назад
Hadithi ya Leonard ni ukumbusho kwamba usikate tamaa unapopitia maisha magumu.Leonard alidharauwa na kufukuzwa kwa sababu hakuwa na pesa, lakini aliendelea kumtumaini Mungu. Baadaye, maisha yake yakabadilika na akawa mtu mwenye mafanikio makubwa. Wimbo huu wa Kiswahili Reggae una ujumbe wa imani, uvumilivu, msamaha na kutokumdharau mtu kwa sababu ya hali yake ya leo. Leo unaweza kuwa chini, lakini kesho Mungu anaweza kukuinua. Usimdharau mtu maskini, usikate tamaa, na usimsahau Mungu wakati wa mafanikio. Like 👍 | Share 🔁 | Comment 💬 | Follow ➕