DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Asubuhi | 24.07.2026 | Swahili News
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Asubuhi | 24.07.2026 | Swahili News
10 664 просмотра · Трансляция закончилась 2 месяца назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
10 664 просмотра · Трансляция закончилась 2 месяца назад
Ni wasaa wa Dunia Yetu Leo Asubuhi, na kati ya mengi tuliyokuandaia yaliyopata kipaumbele ni pamoja na:-
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na waasi wa Kihouthi dhidi ya meli za Saudi Arabia katika Bahari ya Shamu.
Raia wawili wa Ghana wameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuchunguza, miaka ya vurugu za chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.