Jinsi ya kupika mzinga wa nyuki / Sega la nyuki kirahisi | Honeycomb bread recipe
Mapishi rahisi
0:00 / 0:00
Jinsi ya kupika mzinga wa nyuki / Sega la nyuki kirahisi | Honeycomb bread recipe
32 272 просмотра · 7 лет назад
Mapishi rahisi
601 тыс. подписчиков
32 272 просмотра · 7 лет назад
Karibuni katika channel yangu. Leo ninawafundisha mapishi ya mzinga wa nyuki
Mahitaji:
Vikombe viwili unga
Robo kikombe sukari
Nusu kikombe maziwa
Kijiko 1 kikubwa hamira
Kijiko 1 kikubwa sukari
Robo kikombe maji ya uvuguvugu
Robo kikombe siagi
Cream cheese aina yoyote
Mahitaji ya Shira:
Kikombe 1 sukari
Kikombe 1 maji
kijiko 1 kidogo ndimu
kijiko 1 kidogo vanilla
FOLLOW US ON:
Facebook: / mapishirahisi
Instagram: / mapishirahisi