Перейти к содержимому

JINSI YA KUWA MSIMAMIZI BORA NYUMBA NA MAJENGO YA KUPANGISHA.

MEVITY COMPANY LTD

0:00 / 0:00

JINSI YA KUWA MSIMAMIZI BORA NYUMBA NA MAJENGO YA KUPANGISHA.

114 просмотров · 10 дней назад
MEVITY COMPANY LTD
791 подписчик
114 просмотров · 10 дней назад
MATUNZO YA NYUMBA AU JENGO LENYE WAPANGAJI A. JINSI YA KUWA MSIMAMIZI BORA WA NYUMBA ZA KUPANGISHA Unaweza kuwa msimamizi bora wa nyumba za kupangisha kwa kufanya yafuatayo: (1) KUFAHAMU VIZURI JENGO/NYUMBA UNAYOSIMAMIA Kujua taarifa za nyumba kama idadi ya vyumba na huduma zilizopo. Kufanya ukaguzi wa nyumba mara kwa mara. (2) KUWA NA MAWASILIANO MAZURI NA WAPANGAJI Jibu malalamiko yao kwa wakati Jenga uhusiano mzuri kati yako na wapangaji Wape wapangaji taarifa muhimu kuhusu matengenezo au mabadiliko. (3) KUONGEZA THAMANI YA JENGO AU NYUMBA UNAYOSIMAMIA Kwa kuhakikisha jengo linafanya kazi vizuri na linabaki katika hali nzuri. --- B. JINSI YA KUIPA THAMANI NYUMBA YAKO NJIA ZA KUFANYA ILI KUIPA THAMANI NYUMBA YAKO: (01) MATENGENEZO YA MARA KWA MARA Matengenezo ya mara kwa mara yanaaidia kuwezesha nyumba kuwa na ubora na uimara Kurekebisha sehemu zilizoharibika kama paa, rangi, mabomba, umeme na milango, Huzuia gharama kubwa za ukarabati baadae na huiunda thamani ya mali(jengo) (02) KUBORESHA MUONEKANO WA NYUMBA Muonekano wa nyumba na mazingira yake humvutia mnunuzi au mpangaji Muonekano huboreshwa kwa kupaka rangi nzuri, kupendezesha, kuweka mazingira safi kwa kupanda miti na maua na Kuboresha sehemu za nje hivyo huifanya nyumba ionekane ya kisasa (03) KUHAKIKISHA HUDUMA MUHIMU ZIPO VIZURI Kuhakikisha maji yanapatikana vizuri, umeme uko salama, mfumo wa majitaka unafanya kazi, sehemu ya maegesho ya magari (parking) na maeneo ya pamoja yanatunzwa vizuri. (04) KUBORESHA USALAMA WA JENGO/NYUMBA Nyumba yenye usalama huwa na thamani zaidi Kuboresha usalama kwa kuweka milango imara, kuweka taa za nje, kuweka uzio imara unaolinda eneo la nyumba, kuweka cctv cameras kwa ufuatiliaji wa eneo na ulinzi, Kuhakikisha kuna njia salama za kutoka wakati wa dharura kama vile fire extinguisher PIA Kuweka mfumo wa ulinzi kulingana na aina ya nyumba (biashara au makezi) mfano keu na walinzi. NB. Usalama ni kitu cha muhimu kinachopa thamani nyumba na kuwezesha watu kuishi au kufanya biashara katika mazingira salama. (05) KUBORESHA MUONEKANO WA NDANI NA MPANGILIO SAHI WA VITU VYA NDANI Nyumba iliyo na mpangilio sahihi wa vitu vya ndani ina rahisischa jinsi ya kutumia vitu na pia huchangia kuongeza thamani ya nyumba kwa sababu huonyesha ubora na matumizi mazuri ya nafasi iliyopo Muonekano wa ndani unaboreshwa kwa kufanya yafuatayo: Kupaka rangi nzuri ndani zinazolingana na mazingira ya nyumba Kupanga samani (furniture) kwa mpangilio sahihi Kuboresha jiko, bafu na vyoo kwa sababu hutumiwa kila siku. NB: Mtu huvutiwa na kile anachokion 06. Thamani ya nyumba haitegemei ukubwa wake pekee, bali inategemea hali yake, huduma zilizopo, usalama na namna inavyosimamiwa. NYUMBA INAYOTUNZWA LEO NI UWEKEZAJI WENYE THAMANI KUBWA ZAIDI KESHO. --- Picha za zamani na zisizovutia kutokana na rangi kudhoofika, nyufa kwenye kuta, na mazingira kutotunzwa (05) KUPELEKEA MAZALIA YA WANYAMA NA WADUDU Nyumba ikikosa marekebisho kwa muda mrefu inaweza kupelekea mazalia ya wanyama waharibifu kama panya na wadudu kama mende na buibui (06) KUTOWAVUTIA WAPANGAJI AU WANANUNUZI → Nyumba isiyofanyiwa matengenezo hupoteza mvuto. Watu wengi hawapendi kukaa au kununua nyumba iliyoharibika kwa sababu itawagharimu kurekebisha wenyewe. (07) KUPUNGUZA MAPATO YA MMILIKI → Nyumba ikiwa mbovu wapangaji wanaondoka na ni vigumu kupata wapangaji wapya. Hii inasababisha nyumba kubaki tupu na mmiliki kupoteza kipato. HITIMISHO: Kukosekana kwa marekebisho au matengenezo katika nyumba au jengo ni sawa na kupunguza uwekezaji katika majengo.