ALIMFUMANIA MKE WA RAFIKI YAKE, AKANYAMAZA BAADA YA KUPEWA! DIRECTOR LOGIC AFUNGUKA “BECAUSE OF ME”
MACHINGA TV
0:00 / 0:00
ALIMFUMANIA MKE WA RAFIKI YAKE, AKANYAMAZA BAADA YA KUPEWA! DIRECTOR LOGIC AFUNGUKA “BECAUSE OF ME”
118 просмотров · 3 недели назад
MACHINGA TV
652 тыс. подписчиков
118 просмотров · 3 недели назад
Director Logic kutoka Burundi, ambaye ni mwandishi, director na mmoja wa waigizaji wa movie ya “Because of Me”, amefunguka kuhusu safari ya kutengeneza filamu hiyo iliyowakutanisha wasanii kutoka Tanzania na Burundi.
Katika mahojiano haya, Director Logic anaeleza kwa undani kuhusu uhusika wake kama askari aliyekumbwa na changamoto za uadilifu, rushwa na urafiki baada ya kukutana na tukio la usaliti lililomhusisha mke wa rafiki yake.
Pia anazungumzia ujumbe mkubwa uliobebwa na “Because of Me” kuhusu mapenzi, kazi, urafiki, usaliti na maamuzi ya maisha, pamoja na uwekezaji waliofanya kuhakikisha filamu hiyo inafikia kiwango walichokusudia.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho kufahamu zaidi kuhusu “Because of Me” na ushirikiano wa wasanii wa Tanzania na Burundi.
#BecauseOfMe #DirectorLogic #Burundi #Tanzania #MachingaTV