Maryam Badawy, daktari bingwa wa upasuaji pwani ya Kenya
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
Maryam Badawy, daktari bingwa wa upasuaji pwani ya Kenya
695 просмотров · 1 год назад
DW Kiswahili
334 тыс. подписчиков
695 просмотров · 1 год назад
Kurunzi Wanawake leo inamuangazia daktari Maryam Badawy ambaye ameingia kwenye historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza katika eneo la pwani ya Kenya kuwa daktari bingwa wa upasuaji wa kurekebisha maumbile. Badawy amekuwa alama ya matumaini kwa wanawake wanaopambana na saratani ya matiti.