Перейти к содержимому

Siri ya majengo marefu kihimili upepo, tetemeko

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Siri ya majengo marefu kihimili upepo, tetemeko

600 просмотров · 15 часов назад
UTV Tanzania
181 тыс. подписчиков
600 просмотров · 15 часов назад
Inawezekana umewahi kujiuliza, ni kwa namna gani majengo marefu yanaweza kuhimili upepo mkali na hata matetemeko ya ardhi, hasa katika nchi zinazokumbwa na matetemeko mara kwa mara. Rais wa Chama cha Wabunifu Majengo Tanzania (AAT), Arch. Mecky T'chawi ameelezea namna ubunifu, teknolojia na ufundi wa hali ya juu vinavyotumika katika ujenzi wa majengo marefu, ili kuhakikisha yana uwezo wa kuhimili nguvu za upepo pamoja na matetemeko ya ardhi yanapotokea.