Перейти к содержимому

Vita vya Iran 'jinamizi' Driscoll kujiuzulu 'US'

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Vita vya Iran 'jinamizi' Driscoll kujiuzulu 'US'

19 241 просмотр · 14 часов назад
UTV Tanzania
181 тыс. подписчиков
19 241 просмотр · 14 часов назад
Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa, Godfrey Mchungu, amesema kuwa wimbi la kujiuzulu kwa viongozi wa juu wa kijeshi wa Marekani limechangiwa na nchi hiyo kuingia katika vita na Iran, huku viongozi hao wakiona hakuna faida ya vita hiyo kwa Marekani. Mchungu ameeleza kuwa viongozi hao wameondoka katika nafasi zao ili kuepusha kuwa sehemu ya historia mbaya ya uongozi wa Donald Trump, ambaye baadhi ya maamuzi yake yamekuwa yakigharimu nchi. Hayo yamejiri kufuatia kujiuzulu kwa Waziri wa Jeshi la Marekani, Don Driscoll, hivi karibuni, jambo analodai ni ishara ya kutokubaliana na vita vinavyoendelea baina ya Marekani na Iran.