Vinaigre | Ferre Gola | Tafsiri ya Swahili | Congo rumba | Lingala Music in Swahili | East Africa
Bolingo Zaire
0:00 / 0:00
Vinaigre | Ferre Gola | Tafsiri ya Swahili | Congo rumba | Lingala Music in Swahili | East Africa
1 529 просмотров · 3 мес. назад
Bolingo Zaire
2,64 тыс. подписчиков
1 529 просмотров · 3 мес. назад
Vinaigre ni wimbo wa Ferre Gola ambao nimeutafsiri katika Swahili ili watu kutoka Afrika Mashariki kama vile Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda na mashariki ya Congo waelewe ujumbe ulio ndani yake.
Wapenzi wa muziki wa rumba za Lingala kutoka miji mikuu kama Dar es salaam, Nairobi, Bujumbura Kigali na Kampala mtaburudika sana na wimbo huu.
Usikose kuniambia maoni yako kwenye comment section kuhusiana na tafsiri ya wimbo huu wenye kuvutia sana.
Wimbo huu unaongelea historia ya wapenzi wawili wanaopendana. Wazazi wa mwanamke hawataki binti yao aolewe na jamaa anayeitwa Herithier Scram kwa sababu ni maskini licha ya kuwa mapenzi yao yalianza tangu walipokuwa shule ya secondari hadi walipoenda chuo kikuu cha UNIKIN.
Wazazi wa msichana waliamua kumuowesha mwanamke huyo na mwanaume mwenye pesa ila ndoa hiyo haikudumu kwa sababu yalikuwa mapenzi yasio ya kweli. Wazazi wa binti wakaamua kumpeleka binti yao ulaya, jambo lililosababisha Herithier Scram na mpenzi wake kukesha wakilia.
Je, mpenzi wake huyo atakataa kwenda ulaya ili aendelee kukaa na Herithier Scram? Herithier Scram ataowa mke mwengine?
Fuatilia historia hii ya kusisimuwa sana ya mapenzi ya kweli na ya tangu utotoni.
#vinaigre #ferregola #swahilitranslation #congorumba #swahili