Перейти к содержимому

Court Circuit | Ferre Gola | Tafsiri ya Swahili | Congo Rumba | Bolingo Music

Bolingo Zaire

0:00 / 0:00

Court Circuit | Ferre Gola | Tafsiri ya Swahili | Congo Rumba | Bolingo Music

265 просмотров · 23 ч назад
Bolingo Zaire
2,62 тыс. подписчиков
265 просмотров · 23 ч назад
Furahia tafsiri ya Swahili ya wimbo Court Circuit wa Ferre Gola kutoka Kilingala hadi Kiswahili. Wimbo huu unaongelea historia ya mapenzi ya Claude Wonga na mke wake Thethe Wonga wanaokaa mjini London nchini Uingereza. Niambie maoni yako kuhusu historia hii ya mapenzi inayopatikana ndani ya wimbo huu. Baadhi ya mistari utakayosikia ndani ya wimbo huu ni kama vile: Muhuzisha majeneza huyauzisha na furaha ila yule anayenunuwa, hununuwa na huzuni. Je, unakubaliana na usemi huo? Niambie maoni yako kwenye comment section. Niambie pia jina wimbo unaotaka nitafsiri katika Swahili kutoka Lingala. Watu wa East Africa kama vile Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda, Kenya na mashariki ya Congo mtafurahia ngoma hii nzuri sana. #courtcircuit #ferregola #swahili #congo #eastafrica