Перейти к содержимому

Rais Obama Akamilisha Ziara Yake

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Rais Obama Akamilisha Ziara Yake

147 272 просмотра · 13 лет назад
Citizen TV Kenya
6,68 млн подписчиков
147 272 просмотра · 13 лет назад
Rais wa Marekani Barack Obama amekamilisha ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania kwa kuweka shada la maua kwenye kaburi la wahanga wa mkasa wa mashambulizi ya kigaidi ya mwaka 1998.