Перейти к содержимому

#BREAKING: TUNDU LISSU AKIINGIZWA KWENYE GARI YA MAGEREZA KWENDA KUTUMIKIA JELA MIAKA 4!

Global TV Online

0:00 / 0:00

#BREAKING: TUNDU LISSU AKIINGIZWA KWENYE GARI YA MAGEREZA KWENDA KUTUMIKIA JELA MIAKA 4!

50 080 просмотров · 11 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
50 080 просмотров · 11 ч назад
#BREAKING: TUNDU LISSU AKIINGIZWA KWENYE GARI YA MAGEREZA KWENDA KUTUMIKIA JELA MIAKA 4! Tazama jinsi msafara wa Jeshi la Magereza ulivyomchukua Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, kutoka katika viunga vya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kuelekea gerezani kuanza kutumikia kifungo cha miaka minne jela. Hatua hii imefuata baada ya Mahakama Kuu kumkuta na hatia ya kosa la uchochezi (kifungu cha 319 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai), huku likitupilia mbali shtaka kubwa la uhaini lililokuwa likimkabili baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha bila kuacha shaka. #TunduLissu #HukumuYaLissu #CHADEMA #GlobalTVOnline #HabariMpya #BreakingNews #TanzaniaNews ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com