ZIARA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU (WAVULANA) WILAYANI PANGANI | 2025
Istiqaama Tanga
0:00 / 0:00
ZIARA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU (WAVULANA) WILAYANI PANGANI | 2025
620 просмотров · 1 г. назад
Istiqaama Tanga
340 подписчиков
620 просмотров · 1 г. назад
𝗦𝗶𝗸𝘂 𝘇𝗮 𝘂𝘀𝗼𝗻𝗶, 𝘄𝗮𝘁𝗮𝘁𝗮𝘇𝗮𝗺𝗮 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗼𝗴𝗼𝗻𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗯𝗮𝘀𝗵𝗮𝘀𝗵𝗮 𝘁𝗲𝗹𝗲 𝗻𝗮 𝗳𝘂𝗿𝗮𝗵𝗮 𝗺𝗼𝘆𝗼𝗻𝗶, 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝘁𝗮𝘇𝗶𝗲𝗻𝗱𝗲𝗮 𝗵𝗮𝘁𝘂𝗮 𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘆𝗮𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝗮𝗺𝗶𝗻𝗶.
Wanafunzi wa Kidato cha Tatu (wavulana) kutoka Istiqaama Tanga Islamic Secondary School waliopata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali mkoani Tanga kujifunza na kujionea wenyewe baadhi ya yale wanayojifunza darasani.
Dunia ni mithili ya kitabu, na asiyesafiri husoma kurasa chache mno za kitabu cha maisha. Safari hii ilikuwa fursa adhimu kwao kujifunza kuhusu shughuli za Viwanda, usafirishaji na ujenzi.
Kila kilichopo duniani kina kusudio jema la kumfaa Mwanadamu. Safari hii iliwapa fursa ya vijana wetu kujionea uzalishaji wa Mbolea kwa kutumia Makumbi ya Nazi kwenye Kiwanda cha @pangani_cocopeat kisha wakashuhudia maendeleo ya ujenzi wa Daraja katika Mto Pangani litakalounganisha eneo la Pangani na Bweni.
Siku hiyo ya kujifunza na kufurahi ilitamatika kwa wasaa wa michezo ya pwani na baharini kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi.
#WeAreTheReadingUmmah
𝐃𝐞𝐝𝐢𝐜𝐚𝐭𝐞𝐝 𝐭𝐨 𝐄𝐱𝐜𝐞𝐥𝐥𝐞𝐧𝐜𝐞 !
.
.
.
.
.
#IstiqaamaTanga #Istiqaama #Secondary #HighSchool #School #Tanga #Tanzania #EastAfrica #Africa