Перейти к содержимому

MELI YAGONGA BOMU HORMUZ NA KUTEKEKEA KWA MOTO - JESHI LA IRAN LAONYA NJIA ISIYO IDHINISHWA...

Global TV Online

0:00 / 0:00

MELI YAGONGA BOMU HORMUZ NA KUTEKEKEA KWA MOTO - JESHI LA IRAN LAONYA NJIA ISIYO IDHINISHWA...

2 243 просмотра · 2 часа назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
2 243 просмотра · 2 часа назад
MELI YAGONGA BOMU HORMUZ NA KUTEKEKEA MOTO - JESHI LA IRAN LAONYA NJIA ISIYO IDHINISHWA Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran limesema meli ya mafuta ililipuka na kushika moto baada ya kugonga bomu la baharini wakati ikipita katika Mlango-Bahari wa Hormuz, kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran. Jeshi hilo halikutaja jina la meli hiyo, nchi iliyokuwa imesajiliwa wala bendera iliyokuwa ikipeperusha. Hali hiyo imeacha maswali kuhusu umiliki wa meli hiyo, safari yake na mazingira yaliyopelekea kukumbwa na tukio hilo, huku taarifa zaidi zikihitajika ili kufahamu ukubwa wa uharibifu uliotokea. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com