Перейти к содержимому

TRUMP "NITAFANYA UAMUZI WA HARAKA KUHUSU KUWASHAMBULIA WAHOUTH" AASHIRIA MAREKANI KUUNGANA NA SAUDIA

Global TV Online

0:00 / 0:00

TRUMP "NITAFANYA UAMUZI WA HARAKA KUHUSU KUWASHAMBULIA WAHOUTH" AASHIRIA MAREKANI KUUNGANA NA SAUDIA

4 479 просмотров · 6 часов назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
4 479 просмотров · 6 часов назад
TRUMP "NITAFANYA UAMUZI WA HARAKA KUHUSU KUWASHAMBULIA WAHOUTH" AASHIRIA MAREKANI KUUNGANA NA SAUDIA Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anatarajia kufanya uamuzi hivi karibuni kuhusu uwezekano wa nchi yake kujiunga na Saudi Arabia katika mashambulizi dhidi ya kundi la Wahouthi wa Yemen linaloungwa mkono na Iran, kufuatia shambulizi lililoripotiwa kulenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Khalid jijini Riyadh, Saudi Arabia. Kauli hiyo imekuja wakati mvutano wa kijeshi katika Mashariki ya Kati ukiendelea kuongezeka, huku mashambulizi yanayohusishwa na Wahouthi yakizua wasiwasi kuhusu usalama wa Saudi Arabia na miundombinu yake muhimu. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com