DUA YA KUREHEMU WAZAZI | FAMILIA YA MAMA MBANGA | MAKAMBAKO SOKO KUU
Taqwa Media Makambako
0:00 / 0:00
DUA YA KUREHEMU WAZAZI | FAMILIA YA MAMA MBANGA | MAKAMBAKO SOKO KUU
23 просмотра · 15 часов назад
Taqwa Media Makambako
497 подписчиков
23 просмотра · 15 часов назад
🤲 DUA YA KUWAREHEMU WAZAZI NA NDUGU WALIO TANGULIA MBELE ZA HAKI 🕌
📅 Tarehe 04/10/2026 – Jumapili, familia ya Mama Mbanga iliandaa Dua maalum kwa ajili ya kuwaombea wazazi na ndugu zao waliotangulia mbele za haki.
Katika Dua hiyo, Ustadhi Zubeiry Juma alitoa mawaidha na kusisitiza umuhimu pamoja na faida za kuwaombea wazazi na ndugu waliotangulia mbele za haki, akiwakumbusha waumini nafasi ya Dua katika kuwafanyia kheri waliotutangulia.
🎥 Kupitia video hii, utashuhudia tukio hili kuanzia mwanzo hadi mwisho, pamoja na Dua na mawaidha yaliyotolewa.
🤲 Mwenyezi Mungu awarehemu wote waliotangulia mbele za haki, awaghufirie madhambi yao na awajaalie Pepo. Aamiin.
📺 TAQWA MEDIA MAKAMBAKO
Da’awah | Elimu | Maendeleo
👍 Like | 💬 Comment | 🔔 Subscribe
📲 Endelea kufuatilia Taqwa Media Makambako kwa Da’awah, Elimu na Maendeleo.
#TaqwaMediaMakambako #Dua #DuaYaWazazi #MamaMbanga #UstadhiZubeiryJuma #Wazazi #Marehemu #Makambako #Daawah #Elimu #Maendeleo