Перейти к содержимому

MUHADHARA | NAMNA GANI TUISHI WAISLAMU | UST. MOHAMMED JOSEPH MTOTO WA PADRI KUTOKA MAREKANI

Taqwa Media Makambako

0:00 / 0:00

MUHADHARA | NAMNA GANI TUISHI WAISLAMU | UST. MOHAMMED JOSEPH MTOTO WA PADRI KUTOKA MAREKANI

242 просмотра · 5 дн. назад
Taqwa Media Makambako
498 подписчиков
242 просмотра · 5 дн. назад
🕌 MUHADHARA MASJID TAQWA MAKAMBAKO 📅 Jana, Alhamisi tarehe 01/10/2026, baada ya Swalat Asr, waumini walipata fursa ya kushiriki Muhadhara uliofanyika katika Masjid Taqwa Makambako. 🎙️ Ustadh Mohammed Joseph alitoa historia yake pamoja na mawaidha yenye ujumbe muhimu kwa Waislamu. 📖 MADA KUU: “NAMNA GANI TUISHI WAISLAMU?” Muhadhara huu umebeba mafunzo na nasaha zinazolenga kumsaidia Muislamu kuelewa namna ya kuishi maisha yanayoendana na mafundisho ya Uislamu. 🤲 Tunawaomba muendelee kutufuatilia kwa Darsa, Khutba, Muhadhara, Dua na shughuli mbalimbali za Kiislamu kutoka Makambako na maeneo mbalimbali. 📲 TAQWA MEDIA MAKAMBAKO Da’awah | Elimu | Maendeleo 👍 Like | 💬 Comment | 🔔 Subscribe | ↗️ Share #TaqwaMediaMakambako #MasjidTaqwaMakambako #Muhadhara #UstadhMohammedJoseph #NamnaGaniTuiishiMaislamu #Daawah #Elimu #Maendeleo