RC Kheri James apokea Wajumbe Kamati ya Bunge ya LAAC Walipowasi Iringa
Focus TV Tanzania
0:00 / 0:00
RC Kheri James apokea Wajumbe Kamati ya Bunge ya LAAC Walipowasi Iringa
773 просмотра · 10 часов назад
Focus TV Tanzania
79,9 тыс. подписчиков
773 просмотра · 10 часов назад
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Kheri James, amepokea ugeni wa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo, Ado Shahibu, akiambata na makamu wake, Abdallah Dadi Chikota, walipowasili mkoani Iringa kwa ajili ya ziara ya kukagua matumizi na thamani ya fedha katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri ya manispaa ya Iringa Jumamosi ya Oktoba 24, 2026.
Kazi kuu ya Kamati ya Bunge ya LAAC ni kusimamia, kuchambua na kufuatilia matumizi ya fedha za umma katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri zote nchini), ambapo utekeleza jukumu hilo kuu kwa kuchambua taarifa na hoja za ukaguzi zinazowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zinazohusu halmashauri, kwa lengo la kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na matumizi bora ya rasilimali za serikali katika utoaji wa huduma kwa wananchi.
Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma.
.................
Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest.
Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments.
Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team Focus TV Tanzania
#FocusTVTanzania