LISSU aziwakia Kodi, amtaja RAIS SAMIA kuhusika
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
LISSU aziwakia Kodi, amtaja RAIS SAMIA kuhusika
9 438 просмотров · 3 года назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
9 438 просмотров · 3 года назад
TABORA. Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema ametupa lawama kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu utitiri wa kodi zinazopitishwa na kuwatesa watanzania kwa kile alichodai hakuna kodi inayopitishwa bungeni bila ridhaa kutoka kwa Rais.
Kutokana na lawama hizo, Lissu amewataka Watanzania kupigania Katiba Mpya itakayosaidia kupunguza mamlaka ya Rais sambamba na kuweka mfumo shirikishi wa upitishaji kodi kabla ya kuanza kutekelezwa kwa wananchi.