Перейти к содержимому

3.Jifunze kuweka Comments (Single-line na Multi-line Comments)

Science & Code Hub

0:00 / 0:00

3.Jifunze kuweka Comments (Single-line na Multi-line Comments)

41 просмотр · 7 дней назад
Science & Code Hub
84 подписчика
41 просмотр · 7 дней назад
Karibu kwenye Somo la 3 la kozi ya C Programming kwa Kiswahili kutoka Science Code Hub! 🚀 ​Katika somo hili, tutajifunza dhana muhimu sana kwenye uandishi wa kodi inayoitwa Comments. Utajifunza jinsi ya kuweka maelezo ndani ya kodi yako bila kuathiri ufanyaji kazi wa programu. ​📌 Utajifunza Nini Kwenye Video Hii? ​Comment ni nini na kwanini ni muhimu kwa programmer? ​Jinsi ya kuandika Single-line Comment (kutumia //). ​Jinsi ya kuandika Multi-line Comment (kutumia /* ... */). ​Mbinu bora za kutumia comments ili kufanya kodi yako isomeke kwa urahisi. ​🔔 Jiunge na Jamii Yetu: Kama unataka kuwa programmer wa kweli, bonyeza SUBSCRIBE na uwashe KENGELE ili usipitwe na vipindi vinavyofuata! ​👍 Like video hii na uweke Comment yako au swali lolote hapa chini! ​#CProgramming #ScienceCodeHub #CComments #SwahiliTutorials #LearnToCode #CodingKwaKiswahili