MARIA NGODA ALIYEFUNGWA MIAKA 22 kwa KUKAMATWA na NYAMA ya SWALA AACHIWA HURU -"SINA cha KUWALIPA"..
Global TV Online
0:00 / 0:00
MARIA NGODA ALIYEFUNGWA MIAKA 22 kwa KUKAMATWA na NYAMA ya SWALA AACHIWA HURU -"SINA cha KUWALIPA"..
9 165 просмотров · 2 года назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
9 165 просмотров · 2 года назад
MARIA NGODA ALIYEFUNGWA MIAKA 22 kwa KUKAMATWA na NYAMA ya SWALA AACHIWA HURU -"SINA cha KUWALIPA"..
MAHAKAMA kuu Kanda ya Iringa imemuachia huru Maria Ngoda maarufu kama Mama wa Nyama ya Swala aliye hukumumiwa kifungo cha miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na ndoo iliyosemekana ilikuwa na vipande 12 vya Nyama iliyosemekana ilikuwa ni ya Swala katika ndoo ya Lita 20.
Akisoma hukumu hiyo Jaji mfawidhi wa Mahakama Mkoa wa Iringa Ilvin Mugeta amesema baada ya kupitia hoja zote 13 zilizotolewa na upande wa Mrufani pamoja na ushahidi upande wa Jamhuri amebaini hukumu ya miaka 22 jela iliyotolewa na hakimu Mkazi Mkuu ilikuwa ni kinyume na sheria hivyo inapaswa kubatilishwa.
Kesi hii iliyoibua hisia Mseto kwa wadau wa haki na watanzania wengi isimamiwa na mawakili 6 kutoka TLS Kanda ya Iringa na Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) ambao walikuja na hoja13 zilizoongeza nguvu ya ushindi katika shauri hili..
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx