Перейти к содержимому

“NCHIMBI ALIONDOLEWA NA NANI?” — MWABUKUSI AHOJI NGUVU YA CCM, AKUMBUSHIA YA POLEPOLE

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

“NCHIMBI ALIONDOLEWA NA NANI?” — MWABUKUSI AHOJI NGUVU YA CCM, AKUMBUSHIA YA POLEPOLE

8 804 просмотра · 13 часов назад
TMC NEWS TV
40,7 тыс. подписчиков
8 804 просмотра · 13 часов назад
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS), Boniface Mwabukusi, amehoji nguvu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kumuondoa Emmanuel Nchimbi kwenye nafasi ya Makamu wa Rais, akiibua swali kuhusu mamlaka na utaratibu uliotumika. Akizungumza katika Jukwaa la Kidemokrasia, Mwabukusi amehoji: “Nchimbi aliondolewa na nani?” huku akirejea pia suala la aliyekuwa kada wa CCM, Humphrey Polepole, na kulinganisha mijadala hiyo katika muktadha wa mamlaka, uongozi na demokrasia nchini. TMC NEWS | Shaping The Future Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani. 🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu. 📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni: 📧 tmcnewsmedia@gmail.com 📞 +255 674 075 414 🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia #TMCNEWS565 #TMCNEWS #BonifaceMwabukusi #Mwabukusi #TLS #Nchimbi #EmmanuelNchimbi #CCM #HumphreyPolepole #Polepole #MakamuwaRais #RaiswaTanzania #SiasaTanzania #Demokrasia #JukwaaLaKidemokrasia #Tanzania #HabariTanzania #BreakingNews #PoliticalNews #TanzaniaPolitics #Uongozi #Mamlaka #Katiba #Sheria #TanganyikaLawSociety #TMCNews #ShapingTheFuture