Перейти к содержимому

❤️💍UNACHOTAKIWA KUKIFAHAMU KABLA NA BAADA YA NDOA KUTOKA KWENYE STORI YA LILIAN MWASHA (Part 2)

Hub of Wisdom Inc.

0:00 / 0:00

❤️💍UNACHOTAKIWA KUKIFAHAMU KABLA NA BAADA YA NDOA KUTOKA KWENYE STORI YA LILIAN MWASHA (Part 2)

386 просмотров · 12 часов назад
Hub of Wisdom Inc.
150 тыс. подписчиков
386 просмотров · 12 часов назад
Angalia sehemu kwanza hapa:    • MDOGO WANGU SIKIA! ❤️💍| UNACHOTAKIWA KUKIF...   Ndoa ni safari inayohitaji maandalizi, uelewa, uvumilivu na hekima. ❤️ Lakini je, ni mambo gani muhimu ambayo kila kijana anapaswa kuyafahamu kabla ya kuingia kwenye ndoa, na ni yapi yanayopaswa kuzingatiwa baada ya kufunga ndoa? "Ukianza kuona kuna ukakasi, just know he is not the right one for you." Anasema Lilian akiongezea kwa kutaja mambo mawili ambayo ni alama za hatari ------ Ni jambo gani unaona ni muhimu zaidi kwa mtu kulifahamu kabla ya kuingia kwenye ndoa? 💬 Tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media #LilianMwasha #IreneKamugisha #Ndoa #Mahusiano #MaandaliziYaNdoa