MDOGO WANGU SIKIA! ❤️💍| UNACHOTAKIWA KUKIFAHAMU KABLA NA BAADA YA NDOA KUTOKA KWENYE STORI YA LILIAN
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
MDOGO WANGU SIKIA! ❤️💍| UNACHOTAKIWA KUKIFAHAMU KABLA NA BAADA YA NDOA KUTOKA KWENYE STORI YA LILIAN
3 180 просмотров · 18 часов назад
Hub of Wisdom Inc.
150 тыс. подписчиков
3 180 просмотров · 18 часов назад
Angalia sehemu ya pili hapa: • ❤️💍UNACHOTAKIWA KUKIFAHAMU KABLA NA BAADA ...
"Mimi nilianza kupata stress ya kuingia kwenye ndoa nikiwa na miaka 25, 26, 27, 28 mpaka 29 nikaanza kupanick, nisijue kwamba sijachelewa kabisa." Anasema dada Lilian akiwatia moyo na kuwashauri mabinti ambao bado hawajaolewa "Ndoa sio kila kitu asikudanganye mtu, halafu ndoa haina time."
---
Ndoa ni safari inayohitaji maandalizi, uelewa, uvumilivu na hekima. ❤️ Lakini je, ni mambo gani muhimu ambayo kila kijana anapaswa kuyafahamu kabla ya kuingia kwenye ndoa, na ni yapi yanayopaswa kuzingatiwa baada ya kufunga ndoa?
"Ukianza kuona kuna ukakasi, just know he is not the right one for you." Anasema Lilian akiongezea kwa kutaja mambo mawili ambayo ni alama za hatari
------
Ni jambo gani unaona ni muhimu zaidi kwa mtu kulifahamu kabla ya kuingia kwenye ndoa? 💬 Tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media
#LilianMwasha #IreneKamugisha #Ndoa #Mahusiano #MaandaliziYaNdoa