Перейти к содержимому

Mwanamke aliyewatapeli wafanyabiashara Nairobi anaswa

KBC Channel 1

0:00 / 0:00

Mwanamke aliyewatapeli wafanyabiashara Nairobi anaswa

8 806 просмотров · 11 дней назад
KBC Channel 1
779 тыс. подписчиков
8 806 просмотров · 11 дней назад
Maafisa wa polisi wa kituo cha Buru Buru, katika kaunti ya Nairobi, wanachunguza madai ya ulaghai yanayomhusisha mwanamke anayeshukiwa kudai kuwa afisa wa serikali ya kaunti ya Nairobi na kuwatapeli wafanyabiashara katika mtaa wa Umoja na mitaa iliyo karibu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv   Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive