Перейти к содержимому

“MIMI SIO MAKAMU WA CCM, NI WA NCHI NZIMA!” — NDEJEMBI ATOA KAULI BAADA YA KUPITISHWA

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

“MIMI SIO MAKAMU WA CCM, NI WA NCHI NZIMA!” — NDEJEMBI ATOA KAULI BAADA YA KUPITISHWA

1 823 просмотра · 2 мес. назад
TMC NEWS TV
42,8 тыс. подписчиков
1 823 просмотра · 2 мес. назад
Bunge laTanzania leo limempitisha Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baada ya kutangazwa kupitishwa, Ndejembi ametoa shukrani kwa Chama na Rais kwa kumuamini na kuona mchango wake, akiahidi kuwatumikia Watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa. Amesisitiza kuwa atafuata maelekezo ya Rais katika kutekeleza majukumu yake, akisisitiza: “Mimi sio Makamu wa CCM, ni Makamu wa nchi nzima.” 🎥 Tazama video kamili kupitia TMC NEWS na usikie mwenyewe majibu ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu suala hilo. 👍 LIKE | 💬 COMMENT | 🔁 SHARE | 🔔 SUBSCRIBE 📢 TANGAZA NASI: Fikisha biashara, huduma au taasisi yako kwa maelfu ya watu kupitia TMC NEWS. 📧 tmcnewsmedia@gmail.com 📞 +255 674 075 414 🌐 @tmcnewsmedia 🌐 TMC NEWS | SHAPING THE FUTURE #tmcnews565 #DeogratiusNdejembi #Ndejembi #MakamuWaRais #BungeLaTanzania #Bunge #Tanzania #RaisSamia #SiasaTanzania #HabariKuu #BreakingNews #Dodoma #Watanzania #TMCNews #TMCNewsTV #TanzaniaKwanza