MAKONDA AMJIBU BABA LEVO: “UWANJA WA ARUSHA SI WA KULINGANISHA NA MKAPA”
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
MAKONDA AMJIBU BABA LEVO: “UWANJA WA ARUSHA SI WA KULINGANISHA NA MKAPA”
227 просмотров · 2 дн. назад
TMC NEWS TV
42,9 тыс. подписчиков
227 просмотров · 2 дн. назад
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Makonda, amemjibu Mbunge maarufu kwa jina la Baba Levo kuhusu hoja ya gharama za ujenzi wa Uwanja wa Arusha, akieleza kuwa uwanja huo hauwezi kulinganishwa na Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Makonda amesema Uwanja wa Arusha unajengwa kwa viwango vya kisasa vya kimataifa, ukiwa na miundombinu kama Skybox 21 na lifti sita. Pia amefafanua matumizi ya utaratibu wa manunuzi wa Single Source, akisisitiza kuwa utaratibu huo si wizi.
TMC NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#tmcnews565 #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#Makonda #BabaLevo #UwanjaWaArusha #BenjaminMkapa #BungeLaTanzania #CAG