DKT. SAQWARE AELEZA JINSI SEKTA YA BIMA ILIVYOCHANGIA KWENYE KUONGEZEKA KWA PATO LA TAIFA – PEMBA
Tanzania Insurance Regulatory Authority [TIRA]
0:00 / 0:00
DKT. SAQWARE AELEZA JINSI SEKTA YA BIMA ILIVYOCHANGIA KWENYE KUONGEZEKA KWA PATO LA TAIFA – PEMBA
112 просмотров · 1 месяц назад
Tanzania Insurance Regulatory Authority [TIRA]
260 подписчиков
112 просмотров · 1 месяц назад
Je, unafahamu mchango wa sekta ya bima katika ukuaji wa uchumi wa Tanzania?
Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware, aeleza kwa kina namna sekta ya bima ilivyochangia kuongezeka kwa pato la taifa kupitia kuimarisha uwekezaji, kulinda biashara na mali, kuongeza imani ya wawekezaji, na kuchochea maendeleo endelevu ya uchumi.
Akizungumza katika Uzinduzi rasmi wa Ofisi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Kanda ya Pemba, Dkt. Saqware anasisitiza kuwa bima ni nyenzo muhimu ya usimamizi wa vihatarishi inayowezesha watu binafsi, wafanyabiashara na taasisi kuendelea kuzalisha na kuchangia ukuaji wa uchumi hata wanapokumbwa na majanga au hasara.