HAFLA YA KUMUAGA MHE. BALOZI MHANDISI ZENA AHMED SAID - HOTUBA YA KAMISHNA, DKT BAGHAYO A. SAQWARE
Tanzania Insurance Regulatory Authority [TIRA]
0:00 / 0:00
HAFLA YA KUMUAGA MHE. BALOZI MHANDISI ZENA AHMED SAID - HOTUBA YA KAMISHNA, DKT BAGHAYO A. SAQWARE
3 054 просмотра · 4 недели назад
Tanzania Insurance Regulatory Authority [TIRA]
260 подписчиков
3 054 просмотра · 4 недели назад
Kamishna wa Bima, Dkt. Baghayo Saqware, akizungumza katika hafla ya kumuaga Mhe. Balozi Mhadisi Zena Ahmed Said, katika nafasi yake ya kuwa Mwenyekiti wa Mabalozi wa Bima nchini.
Katika hafla hiyo, Kamishna wa Bima alitoa pongezi na shukrani kwa Mhe. Balozi Mhadisi Zena Ahmed Said kwa mchango wake, uongozi na ushirikiano katika kuhamasisha uelewa wa bima na kuendeleza ajenda ya mabalozi wa bima nchini.
Tazama video hii kusikiliza ujumbe wa Kamishna wa Bima kuhusu nafasi, mchango na umuhimu wa Mabalozi wa Bima katika kuendelea kuifikisha elimu ya bima kwa wananchi.