Dr. Chris Mauki: Ili Kuongeza Thamani Yako Zingatia Vigezo Hivi Vitatu
Chris Mauki
0:00 / 0:00
Dr. Chris Mauki: Ili Kuongeza Thamani Yako Zingatia Vigezo Hivi Vitatu
6 235 просмотров · 1 г. назад
Chris Mauki
382 тыс. подписчиков
6 235 просмотров · 1 г. назад
Haiwezekani ukabadilisha hali ya maisha yako pasipo kushughulikia thamani yako kwanza. Thamani yako ikishuka maisha yako kwa ujumla yanashuka na ikipanda basi maisha yako yanaonekana kufanikiwa zaidi. Nini kitakacho kusaidia kuongeza thamani hiyo? Vigezo hivi vitatu ni muhimu sana na nyeti kwenye kukubadilisha