MUENDELEZO WA WALIOKUNYWA MAGAI NA KUSABBISHA KULAZWA
Chamber Talkshow
0:00 / 0:00
MUENDELEZO WA WALIOKUNYWA MAGAI NA KUSABBISHA KULAZWA
86 просмотров · 1 дн. назад
Chamber Talkshow
12,8 тыс. подписчиков
86 просмотров · 1 дн. назад
Baada ya wananchi wa Unyambwa, mkoani Singida, kunywa togwa iliyowasababishia kuugua na kulazwa katika Hospitali ya Manispaa ya Singida jana, watoto Hamsini na tano kati ya wagonjwa waliolazwa wameruhusiwa kutoka hospitalini leo, huku wengine wanane wakiendelea na matibabu.
AMINI NYAUNGO ANATUARIFU ZAIDI.
Baada ya kupata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitalini, wazazi wa watoto hao wameishukuru Serikali kwa kuwapatia huduma nzuri za matibabu zilizowasaidia kupona.
INSERT:
Shabani Salumu
Omary Ramadhani
Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Singida, Godfrey Andrew, anafafanua idadi ya wagonjwa waliopokelewa hospitalini hapo hadi kufikia leo pamoja na hali zao.
INSERT: GODFREY ANDREW – MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA MANISPAA YA SINGIDA.
Naye Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, amesema Serikali imetoa msamaha wa gharama za matibabu kwa wagonjwa wote waliofika kupata huduma hospitalini hapo kufuatia tukio hilo.
INSERT: GODWIN GONDWE – MKUU WA WILAYA YA SINGIDA.
MWISHO.
Fifty-five children recover after a togwa poisoning incident in Unyambwa, Singida, following rapid government medical support.
Following the recent health emergency in Unyambwa, Singida, where dozens of children were hospitalized after consuming contaminated drinks, the majority have now been discharged. This Singida health update covers the recovery process and the immediate public health response provided by local medical authorities to ensure the well-being of the affected youth.
Hospital officials and the District Commissioner confirmed that medical care services for all affected patients were waived by the government. This video provides official insights from the Singida Municipal Hospital into the ongoing care for the remaining patients and the status of community safety protocols established following the event.
Subscribe for weekly regional development updates, and comment below if you want to learn more about how local authorities manage community health crises.