Alhamisi Kuu 2021 (Kuabudu Ekaristi)
Kimatu Music Compositions
0:00 / 0:00
Alhamisi Kuu 2021 (Kuabudu Ekaristi)
27 913 просмотров · 5 лет назад
Kimatu Music Compositions
2,93 тыс. подписчиков
27 913 просмотров · 5 лет назад
Alhamisi Kuu 2021 (Kuabudu Ekaristi) ni mkusanyiko wa nyimbo kwenye sherehe za Alhamisi kuu ambapo Yesu alianzisha Sakramenti kuu ya Ekaristi wakati wa karamu yake ya Mwisho ya Jioni(Last Supper). • Hosana Juu (Jumapili ya Matawi 2021) Alhamisi kuu ni kati ya zile sherehe kwenye wiki takatifu ambayo huanza na Jumapili ya Matawi.
Hizi ni nyimbo makhususi za Kuabudu Ekaristi ambayo ni Mwili na Damu Yake Yesu Kristu- Ni Kristu Mwenyewe katika Umbo la Mkate na Divai.