Перейти к содержимому

Ijumaa Kuu 2021 (Tumwangalie Mkombozi/Pasipo Makosa/Kweli ni Huzuni)

Kimatu Music Compositions

0:00 / 0:00

Ijumaa Kuu 2021 (Tumwangalie Mkombozi/Pasipo Makosa/Kweli ni Huzuni)

4 025 просмотров · 5 лет назад
Kimatu Music Compositions
2,93 тыс. подписчиков
4 025 просмотров · 5 лет назад
Ijumaa Kuu 2021; ni nyimbo za kumbukumbu ya mateso ya Kristu hadi kifo cha msalaba. Tunamwangalia Yesu Msalabani; kwenye mateso makali. Pasipo Makos, Yesu alisulibiwa msalabani ili kutukomboa. Ni upendo ulioje!! Kristu alimtukuza Mungu Baba kwa mateso na kifo cha aibu cha msalaba. Mungu Baba alimtukuza Kristu kwa kumfufua katika wafu hadi kupaa mbinguni . Kweli ni huzuni kwa kifo chake Msalabani. Kwa Ishara ya Msalaba Kristu Alituokoa. Yesu akalia kwa ssuti kuu; Baba mikononi mwako naiweka Roho yangu. Ijumaa kuu ni siku yenye huzuni mwingi sana kote duniani! Alipokufa msalabani mnamo saa tisa; nchi ilizizima kwa huzuni kuu. .