Перейти к содержимому

Serikali yakubali kuipandisha hadhi hospitali ya rufaa ya Haydom kuwa ya kikanda

ITV Tanzania

0:00 / 0:00

Serikali yakubali kuipandisha hadhi hospitali ya rufaa ya Haydom kuwa ya kikanda

2 821 просмотр · 9 лет назад
ITV Tanzania
1,36 млн подписчиков
2 821 просмотр · 9 лет назад
Waziri mkuu Mh Kassimu Majaliwa amevunja mzizi wa fitina wa muda mrefu uliokuwa ukilalamikiwa na wabunge wa majimbo mawili ya mbulu mjini na vijiji mkoani Manyara katika maswali ya papo kwa papo wa kukubali kuipandisha hadhi hospitali ya rufaa ya Haydom kuwa na hadhi ya kikanda kwa kuwa hopitali hiyo imekidhi vigezo.