LISSU ATANGAZA MGOMO WA KUTOKULA, CHADEMA YASEMA HAYA
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
LISSU ATANGAZA MGOMO WA KUTOKULA, CHADEMA YASEMA HAYA
228 просмотров · 11 часов назад
TMC NEWS TV
42,5 тыс. подписчиков
228 просмотров · 11 часов назад
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ametangaza kuanza mgomo wa kutokula, hatua iliyozua mjadala kuhusu hali yake na sababu za kuchukua uamuzi huo.
CHADEMA imetoa kauli kuhusu hatua hiyo, huku suala la mgomo wa Lissu likiendelea kuvuta umakini katika kesi yake ya uhaini.
Tazama taarifa hii kufahamu zaidi kuhusu uamuzi wa Lissu na msimamo wa CHADEMA.
#TMCNews #TunduLissu #CHADEMA #TanzaniaNews #BreakingNewsTMC NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#TMCNews #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews