MAFUHA GA KILOMBA PART 2 ORIGINAL MOVIE
Mbalamwezi Films Official
0:00 / 0:00
MAFUHA GA KILOMBA PART 2 ORIGINAL MOVIE
41 853 просмотра · 4 года назад
Mbalamwezi Films Official
7,04 тыс. подписчиков
41 853 просмотра · 4 года назад
Sambaza filamu hii ili kuihamasisha jamii.
Kilomba ni filamu kwa lugha ya mijikenda inayogusia maswala mazito yanayoendelea katika jamii hio kama vile kuuawa kwa wazee, kuzuka kwa waombezi bandia, ushirikina na mengineyo.
Part 2 utapata kujua nini kilifanyika kwa mganga, babake Karembo na vijana ambao walichukua hatua zisizostahili.