Перейти к содержимому

MIZANI YA WIKI | Tahadhari zichukuliwe kupunguza maafa ya El Nino

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

MIZANI YA WIKI | Tahadhari zichukuliwe kupunguza maafa ya El Nino

284 просмотра · 1 день назад
UTV Tanzania
182 тыс. подписчиков
284 просмотра · 1 день назад
Kufuatia taarifa mbalimbali za tahadhari zinazoendelea kutolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) juu ya wananchi kuchukua tahadhari ya kutoka maeneo hatarishi hasa ya mabondeni ili kuepuka maafa ya El Nino, je wananchi wamepokeaje tahadhari hizo? Leo Mizani ya Wiki inaangazia mambo mbalimbali ya kufanya ili kuhakikisha mvua hizi hazileti athari katika mazingira. Fuatilia mjadala huu kufahamu mengi yaliyojadiliwa.