King'ora hakipaswi kufungwa kila gari
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
King'ora hakipaswi kufungwa kila gari
300 просмотров · 2 дня назад
UTV Tanzania
182 тыс. подписчиков
300 просмотров · 2 дня назад
Kufuatia uwepo wa matumizi ya ving'ora pasipo na utaratibu Maalum kwa baadhi ya watu kuona ni kama sehemu ya ufahari na burudani katika chombo cha usafiri bila kufahamu jambo hilo ni kosa kisheria.
Mkurugenzi Huduma za Sheria Wizara ya Mambo ya Ndani, Flora Mrope anafafanua ni watu gani ambao wanastahili kuwa na Ving'ora katika usafiri wao na si kila mtu anapaswa kuweka katika usafiri wake.